TULIKAMATWA NA ASKARI WA UGIRIKI/ WAKAOKOTA VICHWA VYA WATU, CHAKULA CHAO NI NYOKA /inatisha

MTANZANIA aliye zamia meli ya wagiriki na kutoswa pwani ya Msumbiji, anajikuta katika wakati mgumu mikononi mwa Maharamia wa kisomali ndani ya visiwa vya kutisha. MBANGA, nikipindi kinachokupa nafasi ya kujifunza mengi kuhusiana na maisha kwa kupitia simulizi za kweli za maisha ya watu,kipindi hiki kinaruka kila siku za jumamosi katika kila wiki..USIKOSE KUTAZAMA. #maisha #kumbukumbuzakweli #baharia