Dark Night Of The Soul(Usiku Wa Hisi, Usiku Wa Giza, Usiku Wa Roho)

Hii ni program ya SDG (Solution Delivery Group) inayo tatua matatizo mbalimbali ya kila Siku ya mwanadamu. Katika hii video ni Mazungumzo na Ndugu Ricardo ambaye ndiye mwanzilishi Wa shirika LA Ndugu wadogo Wa Africa(Little brothers of Africa) anaongelea "Dark night of the Soul" ( Usiku Wa hisi, Usiku Wa Giza, Usiku Wa Roho) na wengine huita Usiku Wa njozi. Comment chini mambo ambayo in changamoto kwako ili tuweze kukusaidia kupata utatuzi.