South Africa Kuona Bunduki zinavyotumika Jambo la kawaida || "kutoka ughaibuni"

MTANZANIA aliye zamia meli ya wagiriki na kutoswa pwani ya Msumbiji, anajikuta katika wakati mgumu mikononi mwa Maharamia wa kisomali ndani ya visiwa vya kutisha. MBANGA, nikipindi kinachokupa nafasi ya kujifunza mengi kuhusiana na maisha kwa kupitia simulizi za kweli za maisha ya watu,kipindi hiki kinaruka kila siku za jumamosi katika kila wiki..USIKOSE KUTAZAMA. #maisha #kumbukumbuzakweli #baharia